Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea yatinga Robo Fainali Kombe la FA

Luka 03 Mfungaji wa Goli la ushindi la Chelsea

Thu, 3 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Chelsea imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Luton Town usiku wa Jumatano Uwanja wa Kenilworth Road mjini Luton, Bedfordshire.

Timu ya Chelsea imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Luton Town usiku wa Jumatano Uwanja wa Kenilworth Road mjini Luton, Bedfordshire. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Saul Niguez dakika ya 27, Timo Werner dakika ya 68 na Romelu Lukaku dakika ya 78, wakati ya Luton Town yamefungwa na Reece Burke dakika ya pili na Harry Cornick dakika ya 40.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live