Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea yatinga Robo Fainali Carabao Cup

IMG 7359.jpeg Chelsea yatinga Robo Fainali Carabao Cup

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Blackburn Rovers usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Blackburn Rovers usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya The Blues katika mchezo huo wa Hatua ya 16 Bora yamefungwa na Benoit Badiashile dakika ya 30 na Raheem Sterling dakika ya 59.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live