Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea yamuwinda msaidizi wa Guardiola

Enzo Maresca Enzo Maresca

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Chelsea kuachana na kocha Mauricio Potchettino wako katika mazungumzo na kocha Enzo Maresca ambaye amewahi kuwa msaidizi wa Pep Guardiola.

Baada ya Chelsea kuachana na kocha Mauricio Potchettino wako katika mazungumzo na kocha Enzo Maresca ambaye amewahi kuwa msaidizi wa Pep Guardiola. Chelsea inataka kumchukua kocha huyo aliyeipandisha daraja timu ya Leicester City kutoka Championship na kuja Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live