Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea yamfungia milango Kieran Mackenna

GOAL   Blank WEB   Facebook   2024 03 06T131506 Kieran Mackenna

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea ipo kwenye mipango ya kuajiri kocha mpya atakayechukua nafasi ya Mauricio Pochettino aliyeondoka mwishoni mwa msimu huu.

Miongoni mwa makocha waliokuwa kwenye orodha ni pamoja na kocha wa Ipswich Town Kieran Mackenna lakini kwenye orodha ya mwisho jina la kocha huyo halipo.

Majina yaliyosalia kwenye orodha hiyo ni kocha wa Leicester City Enzo Maresca na yule wa Brentford Thomas Frank.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live