Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wazidi kunoga EPL, wmtandika Brighton

IMG 7809.jpeg Chelsea wazidi kunoga EPL, wmtandika Brighton

Mon, 4 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Chelsea jana wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London.

Mabao ya Chelsea yamefungwa na Enzo Fernandez mawili dakika ya 17 na la penalti dakika ya 65 na Levi Colwill dakika ya 21, wakati ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Facundo Buonanotte dakika ya 43 na João Pedro dakika ya 90 na ushei.

Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 10, wakati Brighton & Hove Albion inabaki na pointi zake 22 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 14.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live