Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wavunja mwiko wa Spurs EPL

Chelsea Beat Spurs Chelsea wavunja mwiko wa Spurs EPL

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msenegal Nicholas Jackson amefunga hat-trick Chelsea ikiibamiza Tottenham Hotspur jumla ya magoli 4-1 kwenye Derby ya Jiji la London.

Magoli ya Chelsea katika mchezo wa jana yamefungwa na Palmer (P) 35' na Jackson 75' 90+4' 90+7' huku goli pekee la Spurs likifungwa na Kulusevski 6'.

Spurs imepoteza mechi yake ya kwanza ya msimu baada ya kulazimika kumaliza ikiwa pungufu ya wachezaji wawili baada ya Christian Romero na Destiny Udogie kuoneshwa kadi nyekundu.

Mauricio Pochettino ameiongoza Chelsea kuwaadhibu Waajiri wake wa zamani katika dimba la Tottenham Hotspur.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live