Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wataka mkwanja Mkopo wa Lukaku As Roma

Lukaku Nyavu Romelu Lukaku

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea imeambia AS Roma kwamba watatakiwa kulipa kiasi cha pesa ili kumpata kwa mkopo Romelu Lukaku anayedaiwa kuwa tayari ameshafikia muafaka wa makubaliano binafsi na mabosi wa Roma ambapo amekubali kupunguza mshahara wake ili kutua kwa wababe hao.

Chelsea imeambia AS Roma kwamba watatakiwa kulipa kiasi cha pesa ili kumpata kwa mkopo Romelu Lukaku anayedaiwa kuwa tayari ameshafikia muafaka wa makubaliano binafsi na mabosi wa Roma ambapo amekubali kupunguza mshahara wake ili kutua kwa wababe hao. Lukaku aliripotiwa kufunga safari kwenda nchini Italia jana kwa kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live