Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea washusha Msenegal

Jackson Villareal Nicolas Jackson

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya maslahi binafsi na mshambuliaji wa Villarreal, Nicolas Jackson kwa ajili ya kumsajili nyota huyo mzaliwa wa Gambia mwenye uraia wa Senegal.

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya maslahi binafsi na mshambuliaji wa Villarreal, Nicolas Jackson kwa ajili ya kumsajili nyota huyo mzaliwa wa Gambia mwenye uraia wa Senegal. The Blues wamesaliwa na jukumu la kukubaliana na Villarreal almaarufu Nyambizi wa Manjano ambao wanamthaminisha nyota huyo mwenye umri wa miaka 21 na Euro milioni 35.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live