Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wanamtaka Gavi

Hisamgc8ykqnpqkrkfdc.jpeg Chelsea wanamtaka Gavi

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea wako tayari kumfanya kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Gavi kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye Premier League ili kumsajili kinda huyo mwenye umri wa miaka 18. (AS – in Spanish)

Chelsea wako tayari kumfanya kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Gavi kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye Premier League ili kumsajili kinda huyo mwenye umri wa miaka 18. (AS – in Spanish) The Blues pia wana imani kuwa wanaweza kushinda mbio za kumnunua mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 24, hata bila ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. (90min)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: