Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wampa miaka mitano mrithi wa Pochettino

Skysports Enzo Maresca Chelsea 6567895 Mkufunzi Enzo Maresca amesaini mkataba wa miaka mitano ya kuitumikia Chelsea

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkufunzi Enzo Maresca amesaini mkataba wa miaka mitano ya kuitumikia Chelsea kama kocha mkuu akichukua mikoba ya Mauricio Pochettino aliyetupiwa virago.

Maresca (44) raia wa Italia anatua klabuni hapo kwa mkataba mpaka Juni 2029 wenye chaguo la kuongezeka mpaka Juni 2030 baada ya kuipandisha daraja Leicester City.

Chelsea itailipa Leicester City fidia ya Euro milioni 10 kwa ajili ya kocha huyo pamoja na wasaidizi wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live