Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wamgeukia Michael Olise

Michael Olise Michael Olise

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea imeweka kiasi cha £35 Million kuihitaji saini ya Michael Olise, maongezi na upande wa mchezaji yanaendelea.

Chelsea imeweka kiasi cha £35 Million kuihitaji saini ya Michael Olise, maongezi na upande wa mchezaji yanaendelea. Chelsea inaendelea na ujenzi wa timu yao, tayari imeshafanya mabala katika Dirisha hili la usajili na bila shaka kitakachozalishwa hapa ni bomu kubwa sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live