Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wamejipata EPL, waitembezea dozi Newcastle

IMG 9169.jpeg Chelsea wamejipata EPL, waitembezea dozi Newcastle

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Chelsea usiku wa Jumatatu wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Mabao ya Chelsea yamefungwa na Nicolas Jackson dakika ya sita, Cole Palmer dakika ya 57 na Mykhaylo Mudryk dakika ya 76, wakati ya Newcastle United yamefungwa na Alexander Isak dakika ya 43 na Jacob Murphy dakika ya 90.

Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 27, ngawa inabaki nafasi ya 11, ikizidiwa pointi moja na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live