Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wakomaa kwa Enzo Fernandez

Enzo Fernandez Again Enzo Fernandez

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea haijakata tamaa juu ya mpango wa kuinasa saini ya kiungo wa Benfica na Timu ya Taifa Argentina Enzo Jeremias Fernandez licha ya jaribio la awali kukataliwa mwanzoni mwa mwezi huu.

Klabu ya Chelsea haijakata tamaa juu ya mpango wa kuinasa saini ya kiungo wa Benfica na Timu ya Taifa Argentina Enzo Jeremias Fernandez licha ya jaribio la awali kukataliwa mwanzoni mwa mwezi huu. Awali The Blues walitaka kutoa zaidi ya thamani ya kifungu cha kuachiwa cha pauni milioni 106 kwa awamu tatu (pauni milioni 37.3 kwa kila awamu) kukwepa vikwazo vya sheria ya matumizi ya kiungwana na fedha (FFP) lakini miamba hiyo ya Ureno inataka pesa hizo zilipwe kwa pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live