Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea waipiga chini ofa ya Man United kwa mara ya pili

Ten Hag Need Mason Mount.jpeg Chelsea waipiga chini ofa ya Man United kwa mara ya pili

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wamewasilisha ofa nyingine mpya kwa Chelsea ya Pauni Milioni 45 pamoja na baadae ongezeko la Pauni Milioni 5 ili kupata saini ya Mason Mount

Wakati Chelsea wao wanahitaji Pauni Milioni 60 pamoja na ongezeko la baadae la Pauni Milioni 5 .

Man United wenyewe wameripotiwa hawataki kulipa fedha nyingi zaidi , mazungumzo yanaendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live