Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea waingia vitani kupambana na Liver, Arsenal

A2a891c4 8164 4862 Aab9 72a7c2b577fd 29223550.jfif Gabriel Moscardo

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea wako tayari kuzikabili Liverpool na Arsenal katika mbio za kuwania saini ya kiungo wa kati Gabriel Moscardo (18) kutoka Corinthians ya nchini Brazil.

Chelsea wako tayari kuzikabili Liverpool na Arsenal katika mbio za kuwania saini ya kiungo wa kati Gabriel Moscardo (18) kutoka Corinthians ya nchini Brazil. Kiungo huyo atagharimu karibu pound million £26.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live