Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea waichapa Wolves Darajani

Chalsea Darajani.jpeg Chelsea waliibuka na ushindi wa mabao matatu

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakiwa Uwanja wa nyumbani, Stamford Bridge Jijini London, Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 3-9 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Oktoba 9.

Mabao ya The Blues yamefungwa na Kai Havertz dakika ya 45 na ushei, Christian Pulisic dakika ya 54 na Armando Broja dakika ya 89 na kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 16 katika mchezo wa nane na kusogea nafasi ya nne.

Kwa upande wao, Wolverhampton Wanderers baada ya kipigo cha leo wanabaki na pointi zao sita za mechi tisa nafasi ya 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live