Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wahamishia majeshi kwa De Jong

De Jong .png De Jong

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kumtaka kiungo Frenkie de Jong kutoka Barcelona.

Chelsea inampatia de Jong chaguo sahihi, ‘Ligi ya Mabingwa Ulaya’ jambo ambalo limekuwa kikwazo kwa Mholanzi huyo kwenda Manchester United.

The Blues wameripotiwa kuwa watafanya kila njia kuhakikisha wanaipiku Man United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live