Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea waendeleza uteja Old Trafford, wachapwa bao 2

Image 161955 1701920244 Chelsea waendeleza uteja Old Trafford, wachapwa bao 2

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashetani Wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi yanChelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kusmkia leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

Mabao yote ya Mashetani Wekundu yamefungwa na Scott McTominay dakika ya 19 na 69, wakati bao pekee la The Blues limefungwa na Cole Palmer dakika ya 45.

Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya sita, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 19 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live