Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea wachezea Kichapo London, Kocha apagawa

Skysports Premier League West Ham 6257409 Chelsea walipoteza mchezo wa EPL kwa magoli 3-1 dhidi ya West Ham

Mon, 21 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, West Ham United wameitandika Chelsea mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London Jijini London.

Mabao ya West Ham United yamefungwa na Nayef Aguerd dakika ya saba, Michail Antonio dakika ya 53 na Lucas Paqueta dakika ya 90 kwa penalti, wakati bao pekee la Chelsea limefungwa na Carney Chukwuemeka dakika ya 28.

Ni ushindi wa kwanza kwa West Ham baada ya sare ya 1-1 ugenini na AFC Bournemouth, wakati Chelsea inapoteza mechi ya kwanza baada ya sare ya 1-1 nyumbani na Liverpool.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live