Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea waanza mazungumzo ya Mkataba mpya Ngolo Kante

Kante Pic Ngolo Kiungo wa Chelsea, Ngolo Kante

Thu, 6 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imeanza mazungumzo na kiungo wa kati wa Ufaransa N'Golo Kante, 32, kuhusu kandarasi mpya.

Klabu ya Chelsea imeanza mazungumzo na kiungo wa kati wa Ufaransa N'Golo Kante, 32, kuhusu kandarasi mpya. Mkataba wa sasa Kante unatamatika mwishoni mwa msimu huu na bado anahitajika katika klabu ya Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live