Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea vs Man United hakuna mbabe Darajani

ChelvsMan.jpeg Mchezo ulimalizika kwa sare ya goli 1-1

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashetani Wekundu, Timu ya Manchester United jana imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Chelsea walitangulia kwa bao la penalti la Jorginho dakika ya 87 kufuatia Scott McTominay kumchezea rafu Armando Broja, lakini Casemiro akaisawazishia Man United dakika ya 90 na ushei.

Kwa matokro hayo, Chelsea inafikisha pointi 21 katika nafasi ya nne, ikiizidi pointi moja tu Manchester United baada ya wote kucheza mechi 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live