Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea kwa sasa ni maombi tu

Chelsea To Army.jpeg Kikosi cha Chelsea bado mambo sio shwari

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Chelsea juzi Jumamosi kimepata ushindi wa pili katika mechi 12 kwa mwaka huu 2023 katika michuano yote inayoshiriki ikitoka sare minne na kupoteza sita.

Ushindi huo ni ushindi wa kwanza katika mechi saba ikitoka sare mitatu na kupoteza mitatu tangu iifunge Crystal Palace 1-0, January.

Leo Jumanne Chelsea wako Darajani kukipiga na Dortmundi Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya huku wakipoteza mchezo wa mkondo wa kwanza Ujerumani kwa bao 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live