Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea kumpoteza Gallagher mwishoni mwa msimu

 Conor Gallagher F Conor Gallagher

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea itakutana na wakati mgumu wa kumakisha kikosini msimu ujao nyota wake Conor Gallagher ambaye amekuwa na kiwango bora sana msimu huu.

Sababu za Gallagher kuondoka kikosini ni suala la matumizi ya pesa kupita kiasi "Financial Fair Play" kama ambalo liliwakumba Everton na Fulham wakakatwa pesa.

Gallagher amekuwa mhimili mkubwa kwa Chelsea jambo ambalo linawapa matumaini ya kutwaa walau kombe la FA msimu huu baada ya kutokuwa na msimu mzuri kwenye Ligi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live