Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea kuipiku Arsenal kwa Sesko

Sesko Benjamin Sesko

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea wana imani kuwa wanaweza kushindana na Arsenal katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko kutoka RB Leipzig.

Chelsea wana imani kuwa wanaweza kushindana na Arsenal katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko kutoka RB Leipzig. Sesko mwenye umri wa miaka 21 amekuwa na msimu mzuri kwenye Ligi ya Bundesliga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live