Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea kuendeleza mradi ulioachwa na Christian Atsu

Chelsea X Atsu Chelsea kuendeleza mradi ulioachwa na Christian Atsu

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Chelsea imetangaza kuwa jezi zilizovaliwa na wachezaji katika mchezo wao dhidi ya Everton Machi 18, 2023 zitapigwa mnada ili kupata fedha za kugharamia, ukamilishaji wa shule ambayo marehemu Christian Atsu alikuwa akiijenga nchini Ghana.

Christian Atsu ni nyota aliepita katika klabu ya Chelsea na alifariki katika tetemeko la Ardhi lililotokea nchini Uturuki.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya magoli 2-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live