Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea kubisha hodi Arsenal

Aron Ramdale Contract Arsenal.jpeg Golikipa wa Arsenal Aaron Ramsdale

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Chelsea inafikiria kumuuza golikipa wao raia wa Hispania, Robert Sanchez msimu huu huku mipango yao ni kumleta kipa wa Arsenal Muingereza, Aaron Ramsdale kama mbadala wake.

Timu ya Chelsea inafikiria kumuuza golikipa wao raia wa Hispania, Robert Sanchez msimu huu huku mipango yao ni kumleta kipa wa Arsenal Muingereza, Aaron Ramsdale kama mbadala wake. Jamani Arsenal mkiwaona wanaanza kupata raha kidogo tu mnawachukua wachezaji wao, hamna huruma!!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live