Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea hawakamatiki

Chelsea FC Wachezaji wa Chelsea wakishangilia goli dhidi ya Southampton

Sun, 3 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakiwa na kumbu kumbu ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus, matajiri wa London wameibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Southampton kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Chelsea walionyesha soka safi na kufanikiwa kupachika magoli yao kupitia kwa kinda Chalobah 9', Werner 84, na beki Chilwell 89.

Goli la Southampton limefungwa na J.Ward-Prowse 61' kwa mkwaju wa penati lakini alishuhudia akishindwa kumaliza mchezo huo kwa kuonyeshwa kadi nyekundu.

Kwa matokeo hayo Chelsea wamejikita kileleni mwa msimamo wa EPL wakiwa na alama 16 wakiwa wameshacheza mechi 7, wakifuatiwa na Majogoo wa Jiji Liverpool wenye alama 14 huku nao wakiwakaribisha mabingwa watetezi Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live