Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea Yatangaza kupata hasara

Chelsea Fc Loss Klau ya Chelsea yatangaza hasara

Thu, 30 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imetangaza kupata hasara ya Pauni milioni 145.6 baada ya malipo ya kodi ya mwaka licha ya kufanikiwa kuweza kuchukua ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya mwezi May.

Matatizo ya kifedha katika klabu ya Chelsea kwenye mwaka wa fedha uliosha 30 June 2021 yalisabibishwa na mlipiko wa ugonjwa wa Uviko-19, ambapo sheria iliwataka wacheze pasipo mashibiki na kukosa mauzo ya ticket, kupungua kwa mauzo ya wachezaji na pia utegemezi toka kwa mmiliki wa klabu Roman Ibrahimović.

Mapato ya Chelsea yaliongezeka kutoka Pauni milioni 387.8 hadi Pauni milioni 416.8 kutokana na mapato ya haki za matangazo kuongezea, baada ya kutangaza faida ya Pauni milioni 39.5 kwenye mwaka wa fedha uliopita, mwaka huu wametangaza hasara zaidi ya Pauni milioni 102.

Chelsea kwa sasa inategemea kampuni ya Fordstam Limited ili kuendelea kupata usaidizi wa kifedha, kampuni hiyo ni moja ya kampuni zinazomilikiwa na Roman Abramovich na wamepanga kuendelea kuisaidai klabu hiyo kwa kipindi chote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live