Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chelsea, Man United vitani kwa Olise

Michael Olise Chelsea.jpeg Chelsea, Man United vitani kwa Olise

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea wanajipanga kuingia kwenye mpambano na klabu ya Manchester United ili kuipata saini ya winga wa Crystal Palace, Michael Olise katika dirisha kubwa la usajili.

Chelsea wanajipanga kuingia kwenye mpambano na klabu ya Manchester United ili kuipata saini ya winga wa Crystal Palace, Michael Olise katika dirisha kubwa la usajili. Kiungo mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ana mkataba na Crystal Palace unaotarajiwa kuisha mwaka 2027...lakini una kipengele cha kuachiliwa cha pauni milioni 35.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live