Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheki Vibe la Wachezaji wa Yanga baada ya kumchapa mtani (+Video)

Vibe Yanga Cheki Vibe la Wachezaji wa Yanga baada ya kumchapa mtani

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga imefanikiwa kuichapa Simba SC jioni ya leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ukiwa ni mchezo wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-1, mabao yakifungw ana Aziz KI na Joseph Guede.

Mara baada ya mchezo huo tazama walichokifanya Yanga walipoingia katika vyumba vya kubadilishia nguo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: