Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheki Mapokezi ya Simba walipofika Berkane (+Video)

Simbaaaaaaaa Simba wakiwasili Berkane

Sat, 26 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba usiku wa Jana walianza safari kutoka katika Jiji la Casablanca kuelekea katika Mji wa Berkane ambako watakuwa na mchezo Kuikabili Timu ya RS Berkane mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Wenyeji wa Simba hawakuwa na hila wala hiyana kuonesha ukarimu kwa Wageni wao kitu ambacho hata Simba wamekishukururu.

Hivi ndivyo Simba walivyopokelewa na wenyeji wao baada ya kikosi kutua Berkane ambako ndipo mchezo utapigwa kesho jumapili.

Tazama Video hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live