Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheick Doucore awindwa Liverpool

Cheick Doucore Cheick Doucoure

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool imeongeza juhudi zake za kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace na Timu ya Taifa ya Mali, Cheick Doucoure mwenye umri wa miaka 23.

Klabu ya Liverpool imeongeza juhudi zake za kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace na Timu ya Taifa ya Mali, Cheick Doucoure mwenye umri wa miaka 23. Liverpool imerudi sokoni baada ya kushindwa kuwapata Moses Caicedo na Romeo Lavia ambao wametimkia Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live