Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Charles M'mombwa apewa 'thank you' Ulaya

Mmombwa 82411 Charles M'mombwa

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

????CHARLES M'MOMBWA APEWA THANK YOU

Kiungo Mkabaji Charles M'mombwa (26) Mtanzania aliyekuwa anacheza Soka la Kulipwa Nchini Australia ameachwa na Klabu yake ya Macarthur FC Inayoshiriki Ligi Kuu ya Nchini humo.

Katika Taarifa ya Macarthur FC Imeorodhesha Majina Nane (8) ya Wachezaji ambao sio Chaguo lao Msimu Ujao 2024/2025.

Mtanzania Charles M'mombwa Mchezo wake wa Mwisho alitokea Kama Mchezaji wa Akiba (Sub) akipishana na Wajina Wangu Walter Scott (61) Mchezo Uliomalizika kwa Kupoteza 3-0 Dhidi ya Wellington Phoenix FC.

Macarthur FC Imemaliza Ligi Ikishika Nafasi ya tano (5) Ikicheza Michezo 27 na Kufunga Magoli 45 na Kuruhusu Magoli 48 Ikijikusanyia alama 41.

Charles M'mombwa sasa yupo Jijini Jakarta Indonesia walipoweka kambi na Taifa Stars.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live