Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Charamba amefanyiwa majaribio Simba, hajasajiliwa - Benchikha

Michael Charamba Charamba amefanyiwa majaribio Simba, hajasajiliwa - Benchikha

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye mahojiano na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika kocha wa Simba SC, Benchikha amekiri kuwa Michael Charamba amekuja Simba kufanya majaribio ila bado hajasajiliwa moja kwa moja kuwa mchezaji rasmi wa Klabu hiyo.

Kwenye mahojiano na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika kocha wa Simba SC, Benchikha amekiri kuwa Michael Charamba amekuja Simba kufanya majaribio ila bado hajasajiliwa moja kwa moja kuwa mchezaji rasmi wa Klabu hiyo. Charamba alikiwashajana kwenye mechi dhidi ya APR ya Rwanda na Simba kuambulia sare ya bila kufungana katika mechi hiyo iliyokamilisha hatua ya Makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live