Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama ndani, Phiri, Musonda watemwa Zambia

Chama X Musonda Zambia Chama ndani, Phiri, Musondwa watemwa Zambia

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Clatous Chama ameitwa kwenye Kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia kitakachocheza mechi mbili za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 dhidi ya Congo Brazaville na Niger mwezi November mwaka huu.

Mosses Phiri pamoja na Kennedy Musonda hawajaitwa kwenye Kikosi hicho cha Avram Grant.

Tazama kikosi kamili cha Zambia hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live