Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama lako limekamilika baada ya usajili kufungwa?

Dirisha Usajili Chama lako limekamilika baada ya usajili kufungwa?

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dirisha la usajili limefungwa Tanzania na Barani Ulaya (Agosti 31) huku kila timu ikilitumia kama sehemu ya kujenga timu zao.

Vigogo wa Soka nchini Simba wamefanya usajili kuendana na mashindano watakayoenda kushiriki huku Yanga pia ikifanya hivyo hivyo na tayari baadhi ya sajili zimeshaonekana kuanza vyema.

Je, kwa namna usajili ulivyofanywa na chama lako tutegemee ushindani wa kutosha kwenye mashindano yote wanayoshiriki msimu huu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: