Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama asamehewa, arudishwa kikosini Simba

Realclatouschama Chama asamehewa, arudishwa kikosini Simba

Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.

Kiungo mshambuliaji wa Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast. Chama alisimamishwa kuitumikia Simba SC kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu kabla ya mwamba huyo kuelekea nchini kwao Zambia kuiwakilisha timu yao ya taifa ambayo imeshaondoshwa kwenye michuano ya AFCON.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live