Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama apewa jezi ya Mauya Yanga

Chama Mauya Chama apewa jezi ya Mauya Yanga

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshabuliaji wa Yanga, Clatous Chama raia wa Zambia amepewa jezi namba 20 katika klabu hiyo badala ya jezi namba 17 kama wengi walivyotarajia.

Jezi hiyo ilikuwa ikivaliwa na kiungo mkabaji Zawadi Mauya ambaye ameondoka klabuni hapo baada ya kumaliza mkataba wake.

Jezi namba 17 ambayo Chama alikuwa akiivaa wakati akiwa Simba SC, kwa Yanga inavaliwa na Farid Mussa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live