Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama anarudi kwa maslahi ya Simba - Ahmed Ally

Chama Complete Chama anarudi kwa maslahi ya Simba - Ahmed Ally

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kiungo wao mshambuliaji Clatous Chama, atarejea kama alivyoondoka.

Amesema kikubwa ni maslahi ya klabu.

“Taarifa kamili kuhusu Chama tutaitoa, lakini tuseme kuwa Chama tulimsimamisha kwa maslahi ya Timu na yake pia hivyo hata tutavyomrudisha atarudishwa kwaajili ya Maslahi ya Timu na yake pia” @ahmedally_ Afisa Habari wa Simba Sc kuhusu kusamehewa kwa Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live