Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama aliondoka na gundu Simba

Simba Vs Yanga Chama Yulee.jpeg Clastos Chota Chama.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msimu wa mwisho Clastos Chota Chama kuitumikia Simba kabla hajarudi tena ulikuwa 2020/21 ambao ndiyo ulikuwa msimu wa mwisho Simba kutwa ubingwa.

MSimu wa 2021/22 Clatos Chama alitimkia Berkane akiuzwa na Simba Sc, kabla chama hajaondoka ndiyo ilikuwa tetesi tetesi tu aliingia Instagram Live kama jambo la kawaida tu, lakini ghafka alianza kumzungumzia Haji Sunday Manara ambaye alikuwa ametemwa na Simba.

Wakati Chama akiendelea kumuongelea Haji Manara, Modewj kumbe alijoin na alikuwa anafuatilia ile Instagram live alishindwa uvumilivu ikabidi aulize; "Who paid your Signing fee, Haji?" akiwa na maana nani alilipa ada yako ya usajili ni haji ?

Nimewarudisha tu nyuma kidogo, havihusiani na kusimamishwa kazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live