Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama aipa 'Thank You' Klabu ya Simba

Realclatouschama Clatous Chota Chama

Wed, 3 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mpya wa Yanga SC, Clatous Chota Chama ameiaga familia ya Wanasimba huku akikumbuka namna alivyotua ndani ya timu hiyo akiwa hafahamiki na baadae kuwa vile ambavyo wapenda soka wanamfahamu.

“Sina chochote zaidi ya heshima kwa kila mmoja wenu kwa upendo na heshima ambayo mmenipa miaka yote hii na hakuna yeyote anayeweza kubadilisha historia tuliyoitengeneza pamoja,” sehemu maneno ambayo ameyaandika Chama akiwaaga mashabiki wa Simba.

Kwa sasa nyota huyo raia wa Zambia ametua Yanga, akitangazwa asubuhi ya Julai 1, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live