Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama, Pacome wote wapo sawa

Ni Makosa Kumlinganisha Chama Na Pacome   Saleh Jembe Chama, Pacome wote wapo sawa

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa sasa mjadala mkubwa ni kuhusu ulinganisho wa wachezaji wawili ambao ni Mwamba wa Lusaka Clatous Chama na Zidane wa Afrika Pacome Zouzoua.

Wapo wanaosema Chama ni bora kuliko Pacome na wapo ambao wanasema Pacome ni bora kuliko Chama ila ukirudi katika takwimu kwenye michezo ya Ligi Kuu wote wako sawa.

Takwimu zao:

Clatous Chama

Goli 4

Assist 5

Mechi 16

Jumla amechangia goli 9

Pacome Zouzoua

Goli 6

Assist 3

Mechi 15

Jumla amechangia goli 9.

Nani atamaliza juu ya mwenzake ni jambo la kusubiri hadi mwisho wa msimi huu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: