Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama, Dube, Abuya kuipa Serikali mamilioni

Gamondi Chama Dube Abuya 91021 Chama, Dube, Abuya kuipa Serikali mamilioni

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uhamisho wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha.

Msajili wa Vyama vya Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Evordy Kyando amesema kuwa sababu ya kiwango cha uhamisho wa ndani kuwa kikubwa kuliko uhamisho wa nje kuja ndani ni gharama kutofautiana.

Kwa maana hiyo uhamisho wa wachezaji watatu wa Yanga tu Chama aliyetoka Simba, Dube aliyotoka Azam na Abuya aliyetoka Singida utaipa serikali zaidi ya sh milioni nane.

Bado uhamisho wa kimataifa nao utawaingiza fedha zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live