Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cesar Lobi Manzoki afanya balaa china, ashinda tuzo ya MVP

Cesar Lobi Manzoki MVP Cesar Lobi Manzoki

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Vipers United ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Dalian Proffesional inayoshiriki Ligi Kuu ya China Cesar Lobi Manzoki ameshinda tuzo ya MVP.

Manzoki alihusishwa kutua Msimbazi wakati wa dirisha kubwa la usajili lakini pia dirisha dogo.

Hata hivyo inasemekana bado yupo kwenye mipango ya Simba SC katika dirisha kubwa la usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live