Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro kuwakosa Arsenal, Ten Haag apagawa

Casemiro Apagawa Casemiro kuwakosa Arsenal, Ten Haag apagawa

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Casemiro atakosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Arsenal wikiendi hii baada ya kuonyeshwa kadi ya njano dhidi ya Crystal Palace.

Casemiro amepata kadi 5 za njano, sheria mojawapo ya ligi Kuu England ukipata kadi 5 za njano unakosa mchezo mmoja wa ligi.

Arsenal wataikaribisha Manchester United siku ya Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live