Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro awajia juu Mashabiki wa United wanaomsakama

Casemiro Amerejea Casemiro

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Manchester United Casemiro ameamua kuwajibu mashabiki wa United wanaoshindwq kuheshimu jasho analomwqga klabuni hapo na kumpa maneno ya kibaguzi

“Wakati msimu unaanza nilitajwa kama mchezaji bora wa mwezi kipenzi cha mashabiki, baadq ya hapo nikapata majeraha baada ya muda kupita nilirudi uwanjani lakini utaona kwa sasa nacheza kama mlinzi wa kati huu ni ufafanuzi mdogo tu natoa”

“Ubaguzi umekuwa sehemu ya mpira wa miguu ila kwenye hili ni kuvunjiana heshima tu nilikuwa usajili bora msimu uliopita lakini cha ajabu naonekana sio lolote klabuni”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live