Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro anavyopita kwenye tanuru la moto Man United

Casemiro Red 4 Casemiro

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Carlos Henrique Casimiro alicheza mara 222 pale Real Madrid na kupata kadi 2 nyekundu, lakini ameshapata kadi 3 nyekundu mpaka sasa pale Manchester United.

Ni wazi kabisa kuwa Manchester United inacheza ikiwa inafanya makosa madogo madogo mengi sana ambayo yanapelekea kusababisha fouls za hovyo kufanyika.

Achana na kadi ya utovu wa nidhamu aliyoipata Casimiro kwa Will Hughes w Crystal Palace kwa kumkaba kwa mikono lakini angalia michezo mingine ambayo amepata kadi nyekundu utaona kuna makosa binafsi yaliyotokea kabla ya occasion husika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live