Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro anavyocheza kama bonanza vile - Mchambuzi Sky Sports

Casemiro Amerejea Casemiro anavyocheza kama bonanza vile

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa Sky Sports, Jamie Redknapp amesema anamkubali kiungo wa Manchester United, Casemiro lakini nyota huyo amekuwa akicheza soka kama mechi za hisani.

Redknapp anasema: “Casemiro ni mmoja wa wachezaji wa nafasi ya ulinzi ninaowapenda katika soka la dunia. Nilipenda kumuona akicheza lakini...

“Hivi sasa, ninamtazama na inaonekana kama yuko kwenye mechi za hisani. Anacheza kana kwamba mchezo ni wa kufurahisha kidogo na kuna watu mashuhuri wanaokuja uwanjani.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live