Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro ageuka kimeo Man United, apata majeraha

Casemiro X Casimiro Casemiro

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mkata umeme wa Manchester United Casemiro amepata maumivu jana katika mchezo dhidi ya Newcastle Uinted yatakayomfanya aweze kukosa mchezo dhidi ya Fulham jumapili.

Kiungo mkata umeme wa Manchester United Casemiro amepata maumivu jana katika mchezo dhidi ya Newcastle Uinted yatakayomfanya aweze kukosa mchezo dhidi ya Fulham jumapili. Kocha Erik ten Hag amethibitisha kuwa Casemiro alimtoa kwenye mchezo wa jana kutokana na maumivu hayo na ikumbukwe ndio alikuwa amerejea kwenye majeruhi yaliyokuwa yamemuweka nje wiki tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live