Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casemiro: Ancelotti alilia niliposema naondoka Real Madrid

Ancelotti Casemiro Casemiro: Ancelotti alilia niliposema naondoka Real Madrid

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Manchester United raia wa Brazi Casemiro amesema siku ya mwisho kabla ya kundoka Real Madrid alivyomfuata kocha wa timu hiyo Carlo Ancelotti na kumueleza kuwa anaondoka kwenye klabu hiyo, kocha huyo alionza kulia.

"Sio Perez wala Carlo waliotaka niondoke, Carlo akaniambia sijui niseme nini lakini nakupenda sana na sitapenda uondoke"

"Nilijihisi nahitaji changamoto mpya Man Utd japo nashabikia Real Madrid ni sehemu ya maisha yangu, naipenda sana"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live